irk
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 486
- 390
Hahahah najituliza baba kama nasukwa vileIrk usijali,mimi nakupeleka mdogo mdogo mpaka ile siku itimie,na ujue mvumilivu hula mbivu au vipi?,yaani we ujitulize kama kasuku tu.
Hahahah najituliza baba kama nasukwa vileIrk usijali,mimi nakupeleka mdogo mdogo mpaka ile siku itimie,na ujue mvumilivu hula mbivu au vipi?,yaani we ujitulize kama kasuku tu.
Napenda unavytamka kidigitali au KI 4G yaani full mzuka,.,,,. ETI SAIV CTAK,WACHA WEEE TAAAAMU.Hahahahahahaha[emoji23]
Weeeee KARANJA wewe ebu niache mie nsije fanya maamuzi magumu saiv ctak!
Basi fanya hivo hivo,na kumbuka usije ukachubuka au kupata makovu mamii,yaani ngozi yako iwe kama nylon,maana yake nishaweka nia.Hahahah najituliza baba kama nasukwa vile
Hahahah poa asa ole wako..!!!Basi fanya hivo hivo,na kumbuka usije ukachubuka au kupata makovu mamii,yaani ngozi yako iwe kama nylon,maana yake nishaweka nia.
Duuh mrembo wewe unaanza kufanya moyo udunde,yaani naogopa hiyo (ole wako),haya basi sina jinsi acha nikubali yaishe.Hahahah poa asa ole wako..!!!