Natafuta rafiki wa kike kwa mahusiano ya dhati

Pale unapojiunga fasta na kwenda straight kutafuta mwenza, tena usiku wa manane afu hueleweki unatafuta jinsia ganii aisee.

Lazima wakunyooshe Uncle Rubeya.
 
Ameandika mapema jamani
Wengine makazi yao ni fb wakija huku ni mwendo wa kuaibika tu
 
Ameandika maoema jamani
Wengine makazi yao ni fb wakija huku ni mwendo wa kuaibika tu
Ni kama wale wazee wanaojiingiza kwenye challenge za Instagram jamani. Kuna mmoja anamuiga yule MC Mboneke wa Irudiwe Irudiwe sijui kama mzima yule khaaaa.

Unabaki unaona aibu wewe mwenyewe.🙄🙄🙄🤣🤣🤣
 
Ni kama wale wazee wanaojiingiza kwenye challenge za Instagram jamani. Kuna mmoja anamuiga yule MC Mboneke wa Irudiwe Irudiwe sijui kama mzima yule khaaaa.

Unabaki unaona aibu wewe mwenyewe.
Yule mzee ni bumunda sana
 
Ni kama wale wazee wanaojiingiza kwenye challenge za Instagram jamani. Kuna mmoja anamuiga yule MC Mboneke wa Irudiwe Irudiwe sijui kama mzima yule khaaaa.

Unabaki unaona aibu wewe mwenyewe.
Jf sio ya kila mkuu Kerucee
 
Yupi, yule amekaa ka chotara flani na yuko smart lakini anaongea mashudu?
Subutu. Wewe unaongelea wale gusagusa band nadhani ni Mzee wao manake you affiliated na muchacho ama achunis. Huyo pia anazingua but sio huyo naemuongelea.

Huyu ni Mzee flani mrefu sijui kama sio mlinzi manake anazunguka nyumba huku anaongea pumba.
 
Mara nyingine watu wamekazwa na maisha so wanalipuka hovyo
 
Angalieni kichwa cha cha habari. Simu zetu za smartphone hamzijui kama zina kawaida ya kumalizia neno au na kuja tofauti na ulilokusudia? Vitu vingine ni vya kujiongeza.

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom