Habari wana jf,Mimi mr ngapu nipo zenj miaka yangu 33 mimi mfanya biashara nipo poa maisha poa napenda watu wote napenda kufanya ibada kusoma qur.an.natafuta mschana mchamungu pia miaka kuazia 20 hadi 32 tupange kuonana na mwisho ndoa kwa uwezo wa mungu inshaalla ikiwa bongo au zenj ntatoa maelekezo kwa skayp ili tuonane kokote alipo muhimu sana kupima h i v mguu kwa mguu hosptal 3 tofauti times 2 .email hii kassimyussuf@gmail.comfacebook.kassimchande8@gmail.com
Sawa nasubiri lakini nipo motomoto sio masìhara hata kidogo kama upo tayari nitafute hapa email .kassimyussuf@gmail.com ukituma tu ujumbe ntakujibu acha masihara yako mie sio mtani wako
Sawa kwani wewe babu zako wanatokea wapi jubu kwanza pengine wewe ndugu yangu hebu jitambulishe vizuri sababu ngapu sio maarufu hapa tanzania majina ma chache tu ya ngapu hapa tz