natafuta rafiki wa kike kwa kuwasiliana nae

ngapu

Member
Nov 18, 2012
41
1
Habari wana jf,Mimi mr ngapu nipo zenj miaka yangu 33 mimi mfanya biashara nipo poa maisha poa napenda watu wote napenda kufanya ibada kusoma qur.an.natafuta mschana mchamungu pia miaka kuazia 20 hadi 32 tupange kuonana na mwisho ndoa kwa uwezo wa mungu inshaalla ikiwa bongo au zenj ntatoa maelekezo kwa skayp ili tuonane kokote alipo muhimu sana kupima h i v mguu kwa mguu hosptal 3 tofauti times 2 .email hii kassimyussuf@gmail.com facebook.kassimchande8@gmail.com
 
ha ha ha ha ha ucjali ujumbe umewafikia huwezi kosa kitu bwana Ngapu,
 
Nenda Darajani,Jambiani,Mchambawima,Bububu,Konde wapo wakukinga sharti uwe na hela ya urojo sheikh.
 
Sawa nasubiri lakini nipo motomoto sio masìhara hata kidogo kama upo tayari nitafute hapa email .kassimyussuf@gmail.com ukituma tu ujumbe ntakujibu acha masihara yako mie sio mtani wako
 
ww ngapu wa wapi manake mababu zangu nami ni ngapu, so nakuogopa kukubali huo urafiki isije kuwa natoka na babu yangu! hahahaaaa
 
Sawa kwani wewe babu zako wanatokea wapi jubu kwanza pengine wewe ndugu yangu hebu jitambulishe vizuri sababu ngapu sio maarufu hapa tanzania majina ma chache tu ya ngapu hapa tz
 
namimi huko huko wewe uko zenj au dar hebu nipe mawasiliano yako usijali ili tujuane zaidi thank you my yong sister niko happy kukutana na my sister
 
Nenda nyumbani kwa kiongozi wa uamsho mwenyewe yupo jela... Anao mabinti bomba ile mbaya
 
Hahahaaaa wana jf acheni majungu mtawavunjia wenzenu rizki zao jamani eee msijali hao wenzetu watani wetu waneshapata humuhumu wana jf tuwe na collective leadership
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom