Natafuta rafiki wa kike hapa JF

Natafuta rafiki wa kike hapa JF

Asante mwanangu kwa kunitusi kimombo.... nakuombea ufike umri wangu upate mwanao akutukane kama ulivyonitusi pia!

umezidi dharau acheni kukatisha wenzenu tamaa,kwanini ww usingetoa uzi wako hapa mpaka unaanza kumkatisha tamaa dogo apo,au wewe ndyo muongozaji wa huu mtandao,acha dharau

nshaombewa saaana na mpaka sasa nakula maisha tu
 
f*ck you achen mawazo ya kishenzi,ndyo nyinyi msio na mbele wala nyuma kazi kusubili baba ako afe uanze kugombania boda boda yenu,mtu anajieleza unaanza kumkatisha tamaa,kwani wameweka limt humu,moda faka ww

Sijawahi kuona mtu asiye mstaarabu kama wewe.Kwani ungeongea lugha ya kawaida ungepungukiwa nini?Ustaarabu na kujiheshimu ni kitu cha bure sana.Na shukuru kuwa umemtusi mtu muelewa sana lakini mbali na hivyo ban ingekuhusu wewe.Au ingekuwa mie ndio mods jf ungeisikilizia tu kwa watu maana ningekupa ban ya hatari
 
umezidi dharau acheni kukatisha wenzenu tamaa,kwanini ww usingetoa uzi wako hapa mpaka unaanza kumkatisha tamaa dogo apo,au wewe ndyo muongozaji wa huu mtandao,acha dharau

nshaombewa saaana na mpaka sasa nakula maisha tu

Nadhani una tatizo la kisaikolojia, na kwa kuwa tatizo lako linatibika kutokana na muda naamini siku moja utarudi nyuma kusoma mawazo yako na kujiomba msamaha!

mtu kaweka inshu yake wewe unashoboka kifala ---- tu, kwan ametaja jina lamtu humu!!

Nilidhani wewe mwenye ushauri mzuri ungempa mwenzio rafiki wa wa kike ama kumpigia upatu badala ya kutumia nguvu na busara zako zote kum attack mtu ambaye hakuwa na nia mbaya sema aliwasilisha mawazo yake kwa namna ambayo hukupenda kusumbua kichwa kumuelewa ama hukuelewa bahati mbaya! Jifunze kuwa passionate, dunia ni ya Mungu mdogo wangu, binadamu tunapita tu!
 
Nadhani una tatizo la kisaikolojia, na kwa kuwa tatizo lako linatibika kutokana na muda naamini siku moja utarudi nyuma kusoma mawazo yako na kujiomba msamaha!

Nilidhani wewe mwenye ushauri mzuri ungempa mwenzio rafiki wa wa kike ama kumpigia upatu badala ya kutumia nguvu na busara zako zote kum attack mtu ambaye hakuwa na nia mbaya sema aliwasilisha mawazo yake kwa namna ambayo hukupenda kusumbua kichwa kumuelewa ama hukuelewa bahati mbaya! Jifunze kuwa passionate, dunia ni ya Mungu mdogo wangu, binadamu tunapita tu!

nshakutana na watu kama nyinyi wengi sana humu Jf na mtaani pia,am sure ki umri ww kwangu ww ni bwanamdogo saaana,so Dunia hii bado sana ww kuijua na ndyo maaana hata Dini huijui vilivyo,Imani yako ni ndogo saaana,ni sawa na kuvaa bendera ya Chadema kuzuia watu wasiichome moto hatimae na ww unachomwa moto kwa kitu usicho kijua
 
Si bure, leo umevurugwa! Endelea kutoa yaliyokujaa rohoni uongeze muda wa kuishi! Utakuwa mchawi kujua umri wangu kwa kuwa hakuna sehemu yoyote ndani ya jukaa ama yenye connection na JF yenye kumbukumbu za umri wangu... na ukubwa wa mtu hupimwa kwa kiwango cha busara zilizomjaza...unaweza kuwa na miaka hata mia tatu ila akili yako ikawa butu kuzidi mtoto wa baby class!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom