Akotia
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 455
- 1,069
Habari
Kwa kipindi kirefu nimekua sina rafiki wa kike hata wa kujualiana hali kwa text,upweke ukastawi na leo nikasema upweke basi acha nijaribu kutafuta hapa kwenye mtandao wangu wa jf.
Sio kama sina marafiki wa kike,hapana ninao ila kila mmoja na time yake na hamna yoyote ambae anaweza kua mpenzi wangu wengine my exes tu.
Ukizingatia situmii mtandao mwingine zaidi ya jf(nina id mbili) haina budi kujaribu hapa hapa.sifa zangu

- Kijana msomi na nina miaka 24,naishi dar
- Nimeajiriwa (fundi)
- Nina muonekano mzuri
- Ni mcheshi,sina drama na nimuelewa pia
- Muaminifu na mkweli
- Muislam
- Uwe dar
- Uwe unavutia
- Uwe mkweli