Natafuta rafiki wa kike ambae nitafunga nae ndoa

Natafuta rafiki wa kike ambae nitafunga nae ndoa

a/c2015

Member
Joined
Nov 22, 2014
Posts
11
Reaction score
2
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 25 niliehitim chuo mwaka jana. Natafuta mwanamke ambae yupo tayari kuoana, awe na umri wa miaka 20-30 sna ubaguzi wa rangi, dini, wala kabila, karibu sana japo kwa sasa naendelea kutafuta kazi ya kudumu.


Ni Pm kwa mawasiliano zaidi kama kwel unania ya dhati.


Nahitimisha.


Mwanamke Utayari kuishi nami kipindi hiki natafuta kazi ya uhakika atapewa kipaumbele.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom