Naanza Mimi..habari yako rafiki yangu. ....njoo tuutengeneze urafiki wenye nguvu kana kwamba ni ndugu, kama unahisi naweza kuwa sehemu ya watu muhimu ni pm ndugu yangu...haijalishi jinsia gan..
Mimi ni rafiki batili...Mbona wewe umejitoa..?
Wewe unae marafiki wakutosha tayari au vipi mkuuNgoja waje...