Natafuta rafiki anayeongea Kingereza fluently

Salaam wakuu

Mimi ni kijana wa kiume nipo moshi. Hivi karibuni nimepata mwaliko wa kwenda moja wapo ya nchi ya Ulaya.

Tatizo langu kiingereza nachozungumza kimejaa makinikia kibao, in short my english is poor.

Hivyo natafuta rafiki anayeweza zungumza english safi kabisa, ili anisaidie ku improve hii lugha.

Usihofu, ela ya vocha na bando ntakua nakutumia ili kufacilitate communication

Jinsia zote mtakaribishwa.

Mkuu wazungu huwa wanakuja wakiongea kiswahili broken, nenda nawe ikapige broken english hawatakushangaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom