bwegebwege JF-Expert Member Joined Jul 30, 2010 Posts 1,072 Reaction score 189 Aug 11, 2012 #1 Habari za leo wadau. Kwa mtu aliyenao, au anayefahamu wanakoweza kupatikana, nahitaji Puppy wa kununua aina ya ROTTWELLER (pure breed). BEI: Nitumie PM kufahamisha bei na namna ya kumpata JINSIA: Awe dume (Pure breed) Mawasiliano yote nitumie-PM
Habari za leo wadau. Kwa mtu aliyenao, au anayefahamu wanakoweza kupatikana, nahitaji Puppy wa kununua aina ya ROTTWELLER (pure breed). BEI: Nitumie PM kufahamisha bei na namna ya kumpata JINSIA: Awe dume (Pure breed) Mawasiliano yote nitumie-PM
N NickFatz JF-Expert Member Joined Mar 10, 2012 Posts 224 Reaction score 8 Aug 13, 2012 #2 I need one aswell 🙂..please hook me up if u manage to find a seller