Laibon Member Joined Jun 22, 2009 Posts 9 Reaction score 1 Jan 11, 2010 #1 Ndugu habarini za mchana- nina shida kweli ya kupata puppies-German shephered breed. Kama kuna mwenye idea wanapatikana wapi nitashukuru sana
Ndugu habarini za mchana- nina shida kweli ya kupata puppies-German shephered breed. Kama kuna mwenye idea wanapatikana wapi nitashukuru sana
mundele Member Joined Jun 5, 2009 Posts 45 Reaction score 1 Jan 12, 2010 #2 Polisi kikosi cha mbwa Kilwa road..
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 19,973 Reaction score 23,991 Jan 12, 2010 #3 Piga 0754710068...ila bei imechangamka sana kaka!!kama hana huyo atakuambia uende wapi!!
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,409 Jan 12, 2010 #4 mundele said: Polisi kikosi cha mbwa Kilwa road.. Click to expand... watu mna majibu 😉
kkakuona Member Joined Jan 12, 2010 Posts 70 Reaction score 2 Jan 12, 2010 #5 Skills4Ever said: Piga 0754710068...ila bei imechangamka sana kaka!!kama hana huyo atakuambia uende wapi!! Click to expand... Mkuu kama hautajali weweza kutuambia wadau makisio ya bei.
Skills4Ever said: Piga 0754710068...ila bei imechangamka sana kaka!!kama hana huyo atakuambia uende wapi!! Click to expand... Mkuu kama hautajali weweza kutuambia wadau makisio ya bei.
GreedyKenyan JF-Expert Member Joined Jan 8, 2010 Posts 257 Reaction score 470 Jan 13, 2010 #6 kkakuona said: Mkuu kama hautajali weweza kutuambia wadau makisio ya bei. Click to expand... Nairobi pure breed ya GSD puppy ni 30,000 ambayo ni kama 500,000 Tshs.
kkakuona said: Mkuu kama hautajali weweza kutuambia wadau makisio ya bei. Click to expand... Nairobi pure breed ya GSD puppy ni 30,000 ambayo ni kama 500,000 Tshs.
R rimbocho Member Joined Jan 11, 2010 Posts 73 Reaction score 3 Jan 13, 2010 #7 kweli hawa huwa wazuri sana hata kama bei iko juu si mbaya
NGULI JF-Expert Member Joined Mar 31, 2008 Posts 4,801 Reaction score 647 Jan 13, 2010 #8 Laibon said: Ndugu habarini za mchana- nina shida kweli ya kupata puppies-German shephered breed. Kama kuna mwenye idea wanapatikana wapi nitashukuru sana Click to expand... Kumbe German Shephered siku hizi ni celeb? Anyway mp XSPN wangu nilichukuwa kwake.
Laibon said: Ndugu habarini za mchana- nina shida kweli ya kupata puppies-German shephered breed. Kama kuna mwenye idea wanapatikana wapi nitashukuru sana Click to expand... Kumbe German Shephered siku hizi ni celeb? Anyway mp XSPN wangu nilichukuwa kwake.