Natafuta Pump za money maker

BiGDaTa

Member
Joined
Dec 11, 2014
Posts
52
Reaction score
25
Wadau habari zenu, natafuta zile pump za umwagilia zinazotumia miguu kusukumia maji kama kuna mtu anafahamu zinapatikana wapi hapa dar tafadhari anielekeze
 
Wadau habari zenu, natafuta zile pump za umwagilia zinazotumia miguu kusukumia maji kama kuna mtu anafahamu zinapatikana wapi hapa dar tafadhari anielekeze
Zinapatikana wasiliana nasi kwa namba 0686643616
 
Attachments

  • IMG_20190502_151312.jpg
    396.9 KB · Views: 29
  • IMG_20190502_150855.jpg
    416.5 KB · Views: 25
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…