Natafuta prospectus ya chuo kikuu cha Dodoma

Feb 27, 2017
83
52
Waungwana naomba anayeweza kunisaidia prospectus ya UDOM, maana nmetafuta sana kenye website yao sijaiona.
Natanguliza shukrani
 
Nnayo ya 2008/2009 na ya 2009/2010 na 2010/2011 kama unahtaji nambie
 
Sijaelewà kwa nini vyuo kadha haviweki prospectuses zao kwenye mtandao. Wengine wanaweka lakini zimepitwa na wakati. Mfano mzuri ni udsm, St. Augustine, Mzumbe wanajitahidi kuwa up to date.
 
Jaribu kuwa mvumilivu huwa wanautaratibu wa kutoa hard copy ila ni kwa kuchelewa sana na sijajua ni kwanini hawana utaratibu wa kuweka katika tovuti yao ikizingatiwa kuwa ni gharama ndogo kuliko kuliko hizo printed copy.
 
Back
Top Bottom