Habari wadau, natafuta projector nzuri yenye uwezo wa kuonyesha mchana (Heavy duty) ambayo itatumika kwenye kuonyeshea video records, naomba mnisaidie wapi naweza pata (machimbo) 0764714801 Asante.

Ninayo Epson ebx06 ni ya kisasa sana inaonyesha hata mchana, ni mpya kabisa Ina HDMI na WLAN, njoo pm tuongee biashara. Inaonyesha clear sana hata ukizoom inchi 160