National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
😅😅 umenisamehe deni kwani au ndio unakumbushia
Sawa.. Ndo usipokee cm yangu kaka mkubwa😂😂
Sawa.. Ndo usipokee cm yangu kaka mkubwa😂😂
Nasema tuu dawa ya deni ni kulipaa bro😂😂😂😅😅 umenisamehe deni kwani au ndio unakumbushia
🙂🙂 ntakulipa tu sister, goja goja sasa hivi walevi wamekuwa makini sana na simu zao,Nasema tuu dawa ya deni ni kulipaa bro😂😂😂
Dah asante kwa kunionyesha sehemu nyengine nzuri ya kutumia pesa zangu.Unaweza mkuu sema c tumezoea kwenda hosp ad mtu uumwe ukiwa mzima unaenda zako spa kwenye bode to bode na massage za konokono😂😂
tabata muslim pale nje iko na wanafanya massage therapy, ni sehemu yenye heshima na professionalism.