Natafuta private high schools za ada nafuu za Dar

BlackBella

Member
Aug 10, 2012
28
10
Habari za hapa ndugu zangu?

Naomba sana kwa yoyote yule ambae anazijua shule binafsi HIGH SCHOOLS zilizopo katika mkoa wa DAR ES SALAAM na ambazo zinatoza ADA nafuu kidogo naomba sana aniambie ndugu zangu nina mwanafunzi anahitajika ajiunge na FORM FIVE hapa Dar es Salaam zozote zile ziwe za "DAY au BOARDING"na ikiwezekana mahali zilipo.

Nasubiri msaada wenu.

Ahsanteni sana
 
Habari za hapa ndugu zangu?Naomba sana kwa yoyote yule ambae anazijua shule binafsi HIGH SCHOOLS zilizopo katika mkoa wa DAR ES SALAAM na ambazo zinatoza ADA nafuu kidogo naomba sana Aniambie ndugu zangu nina mwanafunzi anaitajika ajiunge na FORM FIVE hapa Dar es salaam zozote zile ziwe za "DAY au BOARDING"na ikiwezekana mahali zilipo!nasubiri msaada wenu,ahsanteni sana
Kwako wewe ada nafuu ni kiasi gani?
 
Ingia necta chek shule nzuri iliopo top 15 za advance mwa miaka 3 mfululizo utagundua zote zina bei kubwa kasolo moja ambayoni mbezi beach inapatikana tangi bovu mbez beach kituo cha shule .the best school in dar nimesoma Na naijua kiundani kabisa elimu Bora atakama unakaa mbali kuna hostel hii shule ajitangazi Bali matokeo yake yana jitangaza ila kama alifaulu kwa magumashi ataishia form 5 kuna wastani Na aupungui ata 0.5% wastani ni 45% ilakuupata shughuli pevu .kusoma kunahitajika
 
Back
Top Bottom