Natafuta Printers wa Vitabu

Natafuta Printers wa Vitabu

Curriculum Specialist

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2007
Posts
2,732
Reaction score
750
Wenye Makampuni ya Kuprint vitabu nitafuteni kupitia e-mail: mathew_p_2002@yahoo.com. Nina vitabu vingi vya kuprint lakini natafute mtu mwenye bei nzuri na quality, atakayetuma competitive proforma huyo nitam-consider.

Haya Kazi kwenu.
 
Wenye
Makampuni ya Kuprint vitabu nitafuteni kupitia e-mail:
mathew_p_2002@yahoo.com. Nina vitabu vingi vya kuprint
lakini natafute mtu mwenye bei nzuri na quality, atakayetuma competitive
proforma huyo nitam-consider.

Haya Kazi kwenu.

Tunafasiri
aina zote za nyaraka kutoka Kiingereza, kifaransa kwenda kiswahili na Vice Versa.
Pia kwa wale wanaotaka kuandika kitabu unaleta tu concept yako kwetu na
skeleton outline ya Content unayotaka iwemo kwenye kitabu chako kisha
unaandaliwa kitabu chako mpaka cover design yake na kukabidhiwa soft
copy yake. Unaweza kuandikiwa vitabu vya Ushauri wa mahusiano kama
mapenzi,ndoa na uchumba. Vya afya,uchambuzi wa magonjwa na tiba zake za
hospitali au mbadala, Malezi ya watoto, kielimu kwa level ya Nursery
mpaka Secondary, Vya saikolojia, Dini, Riwaya fupi, makala, Story za
uzoefu wenye mafunzo kimaisha na chochote utakachotaka kuandika kwa
gharama nafuu sana na kiwango cha juu kwa kiingereza au kiswahili.
Unaweza kukichapa kabisa kwetu kwa gharama nafuu au tukakushauri katika
hilo. Tucheki kwenye email globalcorporatec@gmail.com kwa maelezo zaidi
na
kutumiwa samples za kazi zetu endapo utahitaji.
 
Back
Top Bottom