Natafuta Primary English medium school

Natafuta Primary English medium school

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2009
Posts
8,328
Reaction score
7,804
Wakuu habari,
Samahani, mwenye kujua shule yeyote ya primary ambayo inafundisha katika media za Kiinglish msaada. Shule iwe ya boarding Ada isizidi 2m kwa mwaka, hapo kilakitu.
Mtoto nataka kuhamisha toka huku kayumba, anaingia darasa la tatu sasa.

Mikoani nayopendelea, Dar, Peanut, Morogoro, Dodoma, Tanga, Kilimanjaro na Arusha.

Asanteni sana Wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry wakuu, hapo kwenye Peanut please isomeke Pwani.

JF kulikoni sioni kitufe cha kuedit??
 
Wakuu habari,
Samahani, mwenye kujua shule yeyote ya primary ambayo inafundisha katika media za Kiinglish msaada. Shule iwe ya boarding Ada isizidi 2m kwa mwaka, hapo kilakitu.
Mtoto nataka kuhamisha toka huku kayumba, anaingia darasa la tatu sasa.

Mikoani nayopendelea, Dar, Peanut, Morogoro, Dodoma, Tanga, Kilimanjaro na Arusha.

Asanteni sana Wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda Twibhoki, ipo serengeti
 
Hazina international/ Tusiime

Mwache huko huko huku huwezi maana ada unapanga wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari,
Samahani, mwenye kujua shule yeyote ya primary ambayo inafundisha katika media za Kiinglish msaada. Shule iwe ya boarding Ada isizidi 2m kwa mwaka, hapo kilakitu.
Mtoto nataka kuhamisha toka huku kayumba, anaingia darasa la tatu sasa.

Mikoani nayopendelea, Dar, Peanut, Morogoro, Dodoma, Tanga, Kilimanjaro na Arusha.

Asanteni sana Wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpeleke Queens English Medium.
Ipo Dar, mitaa ya Ukonga Sitakishari.
Wana boarding na utakuwa ndani ya bajeti yako

FB_IMG_1512847359922.jpg

Darasani
IMG_20171202_170524.jpg

Madarasa
FB_IMG_1512847461560.jpg

Wanafunzi wakipiga picha ya pamoja na walimu wao
IMG_20171129_190106.jpg

Wanafunzi wa boarding wakifanya sherehe fupi kwa ajili ya kuanza likizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • IMG_20171128_155553.jpg
    IMG_20171128_155553.jpg
    59.2 KB · Views: 24
Back
Top Bottom