Natafuta power supply ya Hp Compaq 6005 SFF

PistolGang

JF-Expert Member
Jan 16, 2013
387
225
Kichwa cha habari kinajieleza, natafuta power ya hiyo CPU, njoo na offer yako, iwe ya bei ndogo, napatikana Singida, whatsapp only 0712433059
images.jpeg
unnamed.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

pamjela

JF-Expert Member
Jun 18, 2016
340
1,000
Lakini je umejuaje kama imekufa ni power supry ulijaribu na power nyingne ambayo ni nzima na Pc ikawaka
Km ulijaribu na una uhakika imekufa POWERSUPRY
Ipo bei TZS 30000/=
0777039477
 

PistolGang

JF-Expert Member
Jan 16, 2013
387
225
Lakini je umejuaje kama imekufa ni power supry ulijaribu na power nyingne ambayo ni nzima na Pc ikawaka
Km ulijaribu na una uhakika imekufa POWERSUPRY
Ipo bei TZS 30000/=
0777039477
Nilijaribu boss, nauhakika ni power
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom