Natafuta playstation 3.(PS3)

pure man

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2015
Posts
553
Reaction score
443
Habar wandugu

Naitaji kununua ps 3 au 4,kwa yeyote aliyonayo pls anitumie ujumbe private tufanye biashara
 
Unahitaji ngapi mkuu? Kuna kaka yangu anauza ofisi na hizo Ps3 na tv zake . Kama upo serious uje uzicheki .
 
Mkuu naomba nicheki mimi ninazo. Unahitaji ngapi..? Nipo Tokyo with Sony sasa ni wewe tu mwenyewe sema ngapi unahitaji nikushushie mzigo.!!
 
Mkuu naomba nicheki mimi ninazo. Unahitaji ngapi..? Nipo Tokyo with Sony sasa ni wewe tu mwenyewe sema ngapi unahitaji nikushushie mzigo.!!
Mkuu mm naitaji moja tu kwa matumiz ya dogo home
 
Unahitaji ngapi mkuu? Kuna kaka yangu anauza ofisi na hizo Ps3 na tv zake . Kama upo serious uje uzicheki .
Mkuu PS na TV zipo ngapi? PS zimechipiwa/Modded/Jailbreaked?
 
Zipo tano na tv tano &zimechipiwa, na zina magemu kadhaa
 
Ni ofisi inayofanya kazi kk, lakin tunataka kubadilisha biashara tu
 
Ipo kwenye hali nzuri? Bei gan? Taja specifics zake
Iko poa kabisa (sio slim lakini), ina wireless controller na game tatu...Tennis, Basketball na Mpira. Bei 250,000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…