Wiwachu
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 809
- 926
Wakuu kama ilivo ada nawasalimu wote baada ya salam husika na kichwa cha habari kama kinavyojieleza mimi ni baba wa mke mmoja na watoto 2 wote wanasoma, naishi Dar maeneo ya Tabata nina mali zisizo hamishika kama kiwanja chenye pagara ambalo bado kuezeka tu cha vymba vi3 maeneo ya Kifuru.
Nina hitaji pikipiki ya mtakaba ambayo baada kumaliza mkataba itakuwa yangu iwe mpya au iwe imetumika kiasi tutaiangalia na tutakubaliana muda wa mkataba na kiasi cha kuwa nampa boss kila wiki nk pikipiki iwe Tvs yoyote 150, au 125 au Boxer 125 au 150 aina nyingine pia naweza kuchukua inategemeana ila hizo tajwa hapo juu ndo ambazo zinahit sana kwa kazi ya bodaboda na ndo wateja wanazipenda sana si mnajua tena abiria wa jiji la makonda yaani dar wanachagua hata daladala ya kupanda DCM hawapandi wataka Coastal mayai nk, yaani kitu pamba kama wanataka ya kununua vile

Hata kama upo mbali kiasi gani tuna weza kuingia makubaliano ama mkataba na mambo yakaenda poa sana kuhusu malipo ya hesabu hata kwa njia ya M-pesa, Tigo pesa au airtel money niko tayar kutuma kwa njia hizo kwa yeyote alie nayo au anaetaka au kutafuta muendesha pikipiki nipo tayar kufanya kazi nae. Kwann unipe mimi pikipiki yako mimi ni mwaminifu sana cjui kudhurum cha mtu naamini kweny kupambana maana hamna aliezaliwa na mali vyote tunavyoviona hapa dukani tumevikuta kwa iyo ni bidii yako tu ya kuchakarika na Mungu akihuska pia ..
Asanteni sana niko tayari hata leo ni wewe tu unasubiri nini pikipiki,,zinalipa ikinunua mfano mpya million 2.2 au 2.3ml unapata 3.5ml au kukuu yaani ikiyotumika ambayo bado iko kweny hali nzuri kwa 1.1ml au 1.3 ww unapata 3ml jmn hiyo faida inakuja tu ww umekaa hujui gharama za uendeshaji wala nini ww ni kuletewa hesabu tu kila wiki ukiwa nazo kama pikipiki 5 huoni mambo uqnajiseti yenyewe kabisaa hapo. Kwa mawasiloano zaidi njoo Pm tupeane namba za cm tuyajenge..
SOMA MREJESHO WA HUU UZI HUTAJUTA.

... Dah nmeukumbuka uzi wangu aisee.. Naleta hapa merejesho wa uzi.. Baada ya uzi huu siku ziliennda sikufanikiwa kupata pikipiki kwa wakati ila Mungu alinijaalia nikapata hera nikanunua pikipiki yangu maana kuna walio nishauri niuze pagare wengine nikope pesa kweny taasisi za kifedha kupitia pagare lakin haikuwa hivo hera niliipata kupitia kitu kingine changu nilichouza nikapata pikipiki ya ml1.25 ambayo mpaka sasa naandika comment hii ndo natumia ninayo ni miaka miwili sasa na hera yangu isharudi sasa nakula faida tu na niliinunua ikiwa tayar imetumika kwa mwaka mmoja
Sasa nina uzoefu wa kutosha kweny kazi hii ya usafirishaji wa abiria kutumia bodaboda maana naenda mwaka wa 3 sasa kwaiyo nmekuja hapa kama mlivoomba nilete merejesho kuwahasisha wengine.. Kiukweli kazi ni ngumu ila ukikomaa ukaacha anasa zote na starehe zote unatoboa aisee huwezi amini lile PAGARE LANGU MLILOKUWA MNANISHAURI NILIUZE NA WENGINE NILIKOPEE HERA BANK SASA NILIPAUA NA SASA NMEHAMIA KABISAA NAISHI SASA NAISHI KWANGU SILIPI KODI TENA NA MIMI NAITWA BABA MWENYE NYUMBA
Niliwaambia mimi ni mwaminifu na kwa haya unaeza kuona uaminifu wangu changamoto za kazi hii ni starehe, wanawake yaani mademu na michepuko nk... Nakumbuka mimi nilianza kipindi kigumu sana kile cha corona imechachamaa kweli kweli mwezi wa 4 mwka 2020 nadhani wote mnakumbuka ilikiwaje hali tete na watu hata kazini hawaendi wanashinda wamejifungia makwao lakini hali baadae ilikaa ssawa na watu wakaanza kutoka kwenda makazini na shule zikafunguliwa pia sasa nmeanza kupata connection za wateja ama abaria, japo mafuta nayo yanapamda kila mwezi sasa lita ya petrol ni 3148 na point kadhaa ila tunapambana kiume na hali yetu.
nikuombe kama uko mitaa ya tabata yote ila hasa segerea, kinyerez ama kifuru nifanye niwe bodaboda wako mimi ni mtu mzima kiasi sio sana na ninajua kutunza siri za abiria pia ni mwaminifu sana hutajuta nikiwa bodaboda wako aisee lakini pia hata ukiwa mbali kidogo ila unasafar ya mbali naweza kuja ila kama ni safar ya karibu ya 1000 au 2000 ninaweza kuja kama nikiwa jirani nawe pia kama unauza bidhaa online na unataka kuwa pelekea wateja wako mahali popote ndani ya dar au pwani nafanya kazi hizo pia au uko home na hutaki au husikii kutoka kwenda dukani kufata mahitaji yako nk naweza kukununulia na nikakuletea ulipo na ukanilipa kwa mawasiliano zaidi 0756695846, 0712776823 Asanteni sana wote kwa ushirikiano wenu tupo pamoja.
Nina hitaji pikipiki ya mtakaba ambayo baada kumaliza mkataba itakuwa yangu iwe mpya au iwe imetumika kiasi tutaiangalia na tutakubaliana muda wa mkataba na kiasi cha kuwa nampa boss kila wiki nk pikipiki iwe Tvs yoyote 150, au 125 au Boxer 125 au 150 aina nyingine pia naweza kuchukua inategemeana ila hizo tajwa hapo juu ndo ambazo zinahit sana kwa kazi ya bodaboda na ndo wateja wanazipenda sana si mnajua tena abiria wa jiji la makonda yaani dar wanachagua hata daladala ya kupanda DCM hawapandi wataka Coastal mayai nk, yaani kitu pamba kama wanataka ya kununua vile

Hata kama upo mbali kiasi gani tuna weza kuingia makubaliano ama mkataba na mambo yakaenda poa sana kuhusu malipo ya hesabu hata kwa njia ya M-pesa, Tigo pesa au airtel money niko tayar kutuma kwa njia hizo kwa yeyote alie nayo au anaetaka au kutafuta muendesha pikipiki nipo tayar kufanya kazi nae. Kwann unipe mimi pikipiki yako mimi ni mwaminifu sana cjui kudhurum cha mtu naamini kweny kupambana maana hamna aliezaliwa na mali vyote tunavyoviona hapa dukani tumevikuta kwa iyo ni bidii yako tu ya kuchakarika na Mungu akihuska pia ..
Asanteni sana niko tayari hata leo ni wewe tu unasubiri nini pikipiki,,zinalipa ikinunua mfano mpya million 2.2 au 2.3ml unapata 3.5ml au kukuu yaani ikiyotumika ambayo bado iko kweny hali nzuri kwa 1.1ml au 1.3 ww unapata 3ml jmn hiyo faida inakuja tu ww umekaa hujui gharama za uendeshaji wala nini ww ni kuletewa hesabu tu kila wiki ukiwa nazo kama pikipiki 5 huoni mambo uqnajiseti yenyewe kabisaa hapo. Kwa mawasiloano zaidi njoo Pm tupeane namba za cm tuyajenge..
SOMA MREJESHO WA HUU UZI HUTAJUTA.

... Dah nmeukumbuka uzi wangu aisee.. Naleta hapa merejesho wa uzi.. Baada ya uzi huu siku ziliennda sikufanikiwa kupata pikipiki kwa wakati ila Mungu alinijaalia nikapata hera nikanunua pikipiki yangu maana kuna walio nishauri niuze pagare wengine nikope pesa kweny taasisi za kifedha kupitia pagare lakin haikuwa hivo hera niliipata kupitia kitu kingine changu nilichouza nikapata pikipiki ya ml1.25 ambayo mpaka sasa naandika comment hii ndo natumia ninayo ni miaka miwili sasa na hera yangu isharudi sasa nakula faida tu na niliinunua ikiwa tayar imetumika kwa mwaka mmojaSasa nina uzoefu wa kutosha kweny kazi hii ya usafirishaji wa abiria kutumia bodaboda maana naenda mwaka wa 3 sasa kwaiyo nmekuja hapa kama mlivoomba nilete merejesho kuwahasisha wengine.. Kiukweli kazi ni ngumu ila ukikomaa ukaacha anasa zote na starehe zote unatoboa aisee huwezi amini lile PAGARE LANGU MLILOKUWA MNANISHAURI NILIUZE NA WENGINE NILIKOPEE HERA BANK SASA NILIPAUA NA SASA NMEHAMIA KABISAA NAISHI SASA NAISHI KWANGU SILIPI KODI TENA NA MIMI NAITWA BABA MWENYE NYUMBA