Msolo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 3,829
- 5,270
Kaombe mkopo Bank kwa kutumia Pagare lako, ununue pikipiki mpya. Huna haja ya kuingia mkataba na mtu.Wakuu kama ilivo ada nawasalimu wote baada ya salam husika na kichwa cha habari kama kinavyojieleza mimi ni baba wa mke mmoja na watoto 2 wote wanasoma, naishi Dar maeneo ya Tabata nina mali zisizo hamishika kama kiwanja chenye pagara ambalo bado kuezeka tu cha vymba vi3 maeneo ya Kifuru.
Nina hitaji pikipiki ya mtakaba ambayo baada kumaliza mkataba itakuwa yangu iwe mpya au iwe imetumika kiasi tutaiangalia na tutakubaliana muda wa mkataba na kiasi cha kuwa nampa boss kila wiki nk pikipiki iwe Tvs yoyote 150, au 125 au Boxer 125 au 150 aina nyingine pia naweza kuchukua inategemeana ila hizo tajwa hapo juu ndo ambazo zinahit sana kwa kazi ya bodaboda na ndo wateja wanazipenda sana si mnajua tena abiria wa jiji la makonda yaani dar wanachagua hata daladala ya kupanda DCM hawapandi wataka Coastal mayai nk, yaani kitu pamba kama wanataka ya kununua vile
Hata kama upo mbali kiasi gani tuna weza kuingia makubaliano ama mkataba na mambo yakaenda poa sana kuhusu malipo ya hesabu hata kwa njia ya M-pesa, Tigo pesa au airtel money niko tayar kutuma kwa njia hizo kwa yeyote alie nayo au anaetaka au kutafuta muendesha pikipiki nipo tayar kufanya kazi nae. Kwann unipe mimi pikipiki yako mimi ni mwaminifu sana cjui kudhurum cha mtu naamini kweny kupambana maana hamna aliezaliwa na mali vyote tunavyoviona hapa dukani tumevikuta kwa iyo ni bidii yako tu ya kuchakarika na Mungu akihuska pia ..
Asanteni sana niko tayari hata leo ni wewe tu unasubiri nini pikipiki,,zinalipa ikinunua mfano mpya million 2.2 au 2.3ml unapata 3.5ml au kukuu yaani ikiyotumika ambayo bado iko kweny hali nzuri kwa 1.1ml au 1.3 ww unapata 3ml jmn hiyo faida inakuja tu ww umekaa hujui gharama za uendeshaji wala nini ww ni kuletewa hesabu tu kila wiki ukiwa nazo kama pikipiki 5 huoni mambo uqnajiseti yenyewe kabisaa hapo. Kwa mawasiloano zaidi njoo Pm tupeane namba za cm tuyajenge.
Sent using Jamii Forums mobile app

