Natafuta pikipiki ya kununua

Natafuta pikipiki ya kununua

luofe

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2011
Posts
330
Reaction score
144
mwenye pikipiki anayetaka kuiuza hasa boxer but kama una aina nyingine tuwasiliane pia ....
 
Mkuu nina boxer BM 100 ina namba bpb ina vuja oil kwenye engine inahitaji matengenezo. Nataka kuuza tsh. 700,000 ukihitaji ni PM ni kama mpya.
 
uko wapi?
 
nina boxer ya blue bm 150 namba CFU nataka 1.5m nchek kwa 0655991403 haina tatzo lolote imekwsha insurance tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom