Natafuta pikipiki iliyotumika kidogo

Natafuta pikipiki iliyotumika kidogo

Deepro

Member
Joined
Nov 3, 2016
Posts
63
Reaction score
54
Somo linajieleza hapo juu niko Geita Natafuta pikipiki ya kununua ya bei ndogo iliyotumika kidogo hata miezi kadhaa au mwaka 1
Aina ya Boxer au Tvs
Iwe na vielelezo vyote
Nahitaji Kwa shughuli binafsi na nimeona aina hizo ndio zitanifaa hivyo
Kwa yoyote anayeuza tafadhali tupia hapa picha za pikipiki na bei fasta tufanye biashara.
 
Back
Top Bottom