Natafuta pesa za zamani

Natafuta pesa za zamani

Kimolah

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
570
Reaction score
774
Kwa wenye pesa zilizowahi kutumika kwenye mzunguko kama senti 1, senti 5, senti 10, senti 50, shilingi 1,5 ya noti, 10 ya noti, 20 na kuendelea.

Nahitaji kukusanya kwa ajili ya wanangu na wajukuu (actually sijaoa bado na sioi hivi karibuni, sina mtoto hata wa kusingiziwa), ukiwa nazo zilizoanza kutumika miaka ya 1960's 1970's 1980's 1990's mpaka 2000's.

Kama unazo tafadhali tuwasiliane.
 
kwa wenye pesa zilizowahi kutumika kwenye mzunguko kama senti 1, senti 5, senti 10, senti 50, shilingi 1,5 ya noti, 10 ya noti, 20 na kuendelea..nahitaji kukusanya kwa ajili ya wanangu na wajukuu (actually sijaoa bado na sioi hivi karibuni, sina mtoto hata wa kusingiziwa), ukiwa nazo zilizoanza kutumika miaka ya 1960's 1970's 1980's 1990's mpaka 2000's., kama unazo tafadhali tuwasiliane.
Haya hizi hapa nilipe changu kabisa....!!

1469060135274.jpg
1469060149463.jpg
1469060164531.jpg
1469060179180.jpg
 
kwa wenye pesa zilizowahi kutumika kwenye mzunguko kama senti 1, senti 5, senti 10, senti 50, shilingi 1,5 ya noti, 10 ya noti, 20 na kuendelea..nahitaji kukusanya kwa ajili ya wanangu na wajukuu (actually sijaoa bado na sioi hivi karibuni, sina mtoto hata wa kusingiziwa), ukiwa nazo zilizoanza kutumika miaka ya 1960's 1970's 1980's 1990's mpaka 2000's., kama unazo tafadhali tuwasiliane.
Ni pm mi ninazo na zile za wakoloni, zilizokuwa zinatumika east africa. Unanunuaje?
 
kwa wenye pesa zilizowahi kutumika kwenye mzunguko kama senti 1, senti 5, senti 10, senti 50, shilingi 1,5 ya noti, 10 ya noti, 20 na kuendelea..nahitaji kukusanya kwa ajili ya wanangu na wajukuu (actually sijaoa bado na sioi hivi karibuni, sina mtoto hata wa kusingiziwa), ukiwa nazo zilizoanza kutumika miaka ya 1960's 1970's 1980's 1990's mpaka 2000's., kama unazo tafadhali tuwasiliane.

Ninazo 0757-482042

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa wenye pesa zilizowahi kutumika kwenye mzunguko kama senti 1, senti 5, senti 10, senti 50, shilingi 1,5 ya noti, 10 ya noti, 20 na kuendelea..nahitaji kukusanya kwa ajili ya wanangu na wajukuu (actually sijaoa bado na sioi hivi karibuni, sina mtoto hata wa kusingiziwa), ukiwa nazo zilizoanza kutumika miaka ya 1960's 1970's 1980's 1990's mpaka 2000's., kama unazo tafadhali tuwasiliane.
Uko WAP mkuu mawasiliano tafadhali
 
Kwa wenye pesa zilizowahi kutumika kwenye mzunguko kama senti 1, senti 5, senti 10, senti 50, shilingi 1,5 ya noti, 10 ya noti, 20 na kuendelea.

Nahitaji kukusanya kwa ajili ya wanangu na wajukuu (actually sijaoa bado na sioi hivi karibuni, sina mtoto hata wa kusingiziwa), ukiwa nazo zilizoanza kutumika miaka ya 1960's 1970's 1980's 1990's mpaka 2000's.

Kama unazo tafadhali tuwasiliane.
Ninazo nyingi mno kama zote nicheki mda oote (jairomanb@gmail.com)
 
Back
Top Bottom