Natafuta pembe za ng'ombe kwa bei nzuri

Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
26,303
50,470
Habari wakuu.
Ninahitaji pembe za ng'ombe kiasi chochote kuanzia kilo moja mpaka tani kadhaa.
Pembe ziwe safi ndani bila kuwa na ule mfupa(ziwe nyeupe ndani)
Kwa nje rangi yoyote inafaa.
Mimi nipo Dar es salaam ila mzigo ukiwa sehemu yoyote Tanzania Biashara itafanyika.
Nanunua kwa kilo kwa makubaliano baina yetu.
Ukiwa nazo AMA unafahamu mahali zinapopatikana kwa uhakika tafadhali njoo PM.
 
Mkuu hua nakusanya saana kijijini kwetu hizo.
Hususan pembe nyeupe na. Zinginezo lkn nyeusi sinunui kutokana.na.Hazina.wateja.
Kama una bei poa ni PM tu mkuu hadi sasa na kg288
 
Habari wakuu.
Ninahitaji pembe za ng'ombe kiasi chochote kuanzia kilo moja mpaka tani kadhaa.
Pembe ziwe safi ndani bila kuwa na ule mfupa(ziwe nyeupe ndani)
Kwa nje rangi yoyote inafaa.
Mimi nipo Dar es salaam ila mzigo ukiwa sehemu yoyote Tanzania Biashara itafanyika.
Nanunua kwa kilo kwa makubaliano baina yetu.
Ukiwa nazo AMA unafahamu mahali zinapopatikana kwa uhakika tafadhali njoo PM.

Unanunua na mchuzi wak pia? Sie tunauza supu ya pembe za ng'ombe hapa Chango'mbe.
 
Wapendwa Wateja wangu namba yangu imerejea hewani please tutafutane
 
Habari wakuu.
Ninahitaji pembe za ng'ombe kiasi chochote kuanzia kilo moja mpaka tani kadhaa.
Pembe ziwe safi ndani bila kuwa na ule mfupa(ziwe nyeupe ndani)
Kwa nje rangi yoyote inafaa.
Mimi nipo Dar es salaam ila mzigo ukiwa sehemu yoyote Tanzania Biashara itafanyika.
Nanunua kwa kilo kwa makubaliano baina yetu.
Ukiwa nazo AMA unafahamu mahali zinapopatikana kwa uhakika tafadhali njoo PM.
Za mbuzi hununui mkuu?
 
aah wap sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom