Natafuta Partying buddy wa kike

Ndio, sio mahusiano ya kimapenzi, tunapeana kampan tu tukitoka kurelax, of course na kusaidiana upwiru wa hapa na pale.

Ukiwa unakunywa pombe itapendeza zaidi, ukiwa na tattoos pia ni bomba sana.

Maeneo ni dar na dodoma.

Karibuni PM.
You sound like Haya๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Tulipofikia bora kuelezana ukweli kuwa mpo kupeana company na kupunguziana upwiru ili kila mtu ajue mipaka yake

Mambo ya kufatiliana na kugandana kama kupe ni mambo ya kizamani.

Shukrani za dhati kwako mtoa mada.๐Ÿค
well said brother. People are afraid to face the reality
 
Mkuu, Hii mitazamo huwa ina ukomo. Mwenyewe utatafuta mwenza wa kutulia nae hapo ushapigana vita haswa yaani ni comandoo mwenye makovu yake. 60+ huko utajitafutia tu.
 
Ingia site yao ile ya exotictz, utawapata wa sampuli hio mkuu
 
Ndio, sio mahusiano ya kimapenzi, tunapeana kampan tu tukitoka kurelax, of course na kusaidiana upwiru wa hapa na pale.

Ukiwa unakunywa pombe itapendeza zaidi, ukiwa na tattoos pia ni bomba sana.

Maeneo ni dar na dodoma.

Karibuni PM.
Sasa wa mie katika hizi aongeze awe anakula mjani pia
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ