Natafuta partnership kwenye madini

Natafuta partnership kwenye madini

moses ngete

New Member
Joined
Mar 24, 2019
Posts
1
Reaction score
1
Mimi ni mtaalamu wa uchenjuaji madini ya dhahabu nipo maeneo ya geita/kahama zone. Nikiwa kama mtaalamu na mzoefu wa fani hii natafuta mshirika kwenye uwezo wa kifedha tuwekeze kwenye uchenjuaji madini.kwanza material tutayatoa kwa wachimbaji wadogo kwa kuangalia ore grade na kuweza kuyanunua if possible na kuyapeleka gold plant kwa kufanya ore benefication kwa kutumia chemical aids mbalimbali znazoitajika
IMG_20190324_144513_2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anatakiwa kua na mtaji kiasi gani?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi ni mtaalamu wa uchenjuaji madini ya dhahabu nipo maeneo ya geita/kahama zone. Nikiwa kama mtaalamu na mzoefu wa fani hii natafuta mshirika kwenye uwezo wa kifedha tuwekeze kwenye uchenjuaji madini.kwanza material tutayatoa kwa wachimbaji wadogo kwa kuangalia ore grade na kuweza kuyanunua if possible na kuyapeleka gold plant kwa kufanya ore benefication kwa kutumia chemical aids mbalimbali znazoitajikaView attachment 1052962

Sent using Jamii Forums mobile app
JF nayo ck hizi ni kama FB imebaki watu wa siasa na Mapenzi. Mathalani ungeuliza "Mwanamke mnene na mwembamba yupi MTAMU au JIWE ameumbuka ...." ungepata reply 3k ndani ya 16 hrs ago. Lakini FOCUSED threads kama hii atleast 131 views and 9 replied ndo viwango vya juu.

Anyway kuna sehemu nafanya study maeneo ya Mji wa Masumbwe kama wewe ni makazi wa Kahama utakuwa unapafahamu. Mambo yakisoma tuta tengeneza PARTNERSHIP DEED (a contract on contributions, Profit and Liability) tuongeze nguvu.

Lengo lako nikununua marudio ama uchimbaji.?
 
Mkuu, unejieleza kwa vizuri ingawa kuna vitu vichache naona ume miss...
1. Haujaweka wazi kwamba wewe unautaalamu kwa nyanja ipi?
2. Hauja eleza kiwango cha elimu yako.
3. Ukinitajia Geita/Kahama, hiyo ni gold zone. Kwanini umeshindwa kupata partner kwa kuongea na matajiri wa huko ana kwa ana?
4. Unapo sema unatafuta partner, wewe unachangia nini kwenye huo muungano?
 
Kuna Wasudan wana plant yao hapo mbogwe unawafahamu?, wanahitaji hizo partnership. Watafute
 
Nafahamu wachimbaji wengi wanachenjua bila kusoma hata darasa la pili unless unataka mtu aweke mtaji we usimamie me nilifikiri una makarasha mitambo etc kumbe hata mali inabid mtu arudi kwa wachimbaji.naitamani sana hii biashara one day yes
 
Mimi ni mtaalamu wa uchenjuaji madini ya dhahabu nipo maeneo ya geita/kahama zone. Nikiwa kama mtaalamu na mzoefu wa fani hii natafuta mshirika kwenye uwezo wa kifedha tuwekeze kwenye uchenjuaji madini.kwanza material tutayatoa kwa wachimbaji wadogo kwa kuangalia ore grade na kuweza kuyanunua if possible na kuyapeleka gold plant kwa kufanya ore benefication kwa kutumia chemical aids mbalimbali znazoitajikaView attachment 1052962

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka jaribu kutembelea chunya kunafurusa hizi na utapata haraka maana huku kwetu wakemia ni adimu
 
JF nayo ck hizi ni kama FB imebaki watu wa siasa na Mapenzi. Mathalani ungeuliza "Mwanamke mnene na mwembamba yupi MTAMU au JIWE ameumbuka ...." ungepata reply 3k ndani ya 16 hrs ago. Lakini FOCUSED threads kama hii atleast 131 views and 9 replied ndo viwango vya juu.

Anyway kuna sehemu nafanya study maeneo ya Mji wa Masumbwe kama wewe ni makazi wa Kahama utakuwa unapafahamu. Mambo yakisoma tuta tengeneza PARTNERSHIP DEED (a contract on contributions, Profit and Liability) tuongeze nguvu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo mnakuja na shida zenu hapa mtu akiingia mnamtapeli mnampiga za kichwa pumbuvu wabango. Mbongo mwanaharamu.
Ndio maana tutabaki kukata viuno na kuongelea umbea mpk tufe.
Hapa kuna thread ntai launch mda si mrefu "Mbunye ya kizungu na ya kibongo ipi tamu" utaona ntakavyojaza nyomi. Nyie endeleeni na kutafta mbinu za kutupiga. Hatupigiki tupo busy na mapenzi.
 
Back
Top Bottom