Natafuta partner wa kufanya nae biashara

Natafuta partner wa kufanya nae biashara

Business gani hiyo mbona unafanya Siri tena mkuu?
 
Weka wazi mkuu je huyo Partner unataka mushare biashara nzima toka kubrainstorm idea ya kufanya? au wewe una hela za kufadhili au kuiwezesha business idea ya huyo partner unayemtafuta?
 
Labda uweke wazo maana na mmi nahitaji mtu mwenye mawazo kama hayo ila nina vipengele vidogo juu biashara ninayo fanya na ninayo iplan kuianza.funguka Cv yako juu ya maoni yako

Sent from my HTC Desire 516 dual sim using JamiiForums mobile app
 
Sifa za partiner;

Awe committed, mwaminifu, mwenye malengo, aweze kufocus kwenye malengo bila kua dstructed na external factors.

Mwenye kufikiria chanya, amini katika Mungu.

Nicheki PM
mkuu japo sijajua ni biashara gani lakini labda tukizungumza tutaweza elewana, mimi pia natafuta mtu tushirikiane mimi nafanya biashara ya food processing & packing nipo Dar napatikana 0782 715410

unaweza nicheki then tukaonana na kushirikishana.
 
Naombeni record ya biashara za shea zilizowahi kupiga hatua
Fanyeni kazi
Anzeni na hicho kidogo
Kila mtu anataka kujiongezea mtaji
Mtoa mada chunga sana kuwaandalia watu mitaji
Harufu ya kupigwa biyoo inanukia hapaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom