pagala la nyumba ndo lipoje hapo sijakupata vizuriHabari wadau kwa anaeuza pagala la nyumba maeneo ya Darsalam ambazo huduma muhim zipo kama maji, umeme barabar naomba anicheki Pm.
Nyumba ambay haijaisha yaani bomapagala la nyumba ndo lipoje hapo sijakupata vizuri
ahaa, hapo sawa. mimi sinaNyumba ambay haijaisha yaani boma
Okay pamojahaa, hapo sawa. mimi sina