Natafuta pa ku-volunteer ICT

raia_mwema

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
479
313
Baada ya kumaliza chuo toka mwaka 2011 nimekuwa nikituma application bila mafanikio zapata 80 hv.....
Nina fani katika field ya ICT sasa natafuta mahali ambapo naweza kupata nafasi ya ku-volunteer niko vizuri katika networking pia php nipo dsm
 
Maxence Melo, nimetamani kukupa reputation ndo nikakumbuka mobile devices hazina hii function. Basi nikuombee tu kwa Mungu uzidi kubarikiwa mwayego, wakati huo huo ukiendelea kufanya mpango manake tunakuwa wachoyo bila kupenda.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom