Natafuta order ya flash kwenye maofisi

Natafuta order ya flash kwenye maofisi

frozen

Senior Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
135
Reaction score
32
Wana Jf,Habari. Natafuta order ya flash disk kwa wafanyakazi wa maofisini/ binafsi , flash zangu ni iriginal, aina ya TRANSCEND, tunatoa warranty ya kuanzia miaka miwili na life warranty kwa memory cards, pia flash mteja anapata kamba ya shingoni...free delivery mpaka kwenye office husika.

BEI ZETU

2 GB. 17165/=
4 GB. 19500/=
8 GB. 25545/=
16 GB. 41459/=

MEMORY CARD ZA SIMU

1 GB. 15570/=
2 GB. 17570/=
4 GB. 19570/=
8 GB. 23950/=
16 GB. 42685/=
karibuni sana
mawasiliano. 0686298860. au ni PM.
 
Back
Top Bottom