Wadau wa Zanzibar kama mpo natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Michenzani, Kikwajuni, Mtendeni, Mlandege na Kilimani.
Iwe na vyumba viwili ya kulala au vitatu.
jiko na living room.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.