Natafuta offices au sites za Yapi Merkezi wanazopokea CV manual

Natafuta offices au sites za Yapi Merkezi wanazopokea CV manual

Na ukifika getini tafuta uongo wowote adi uruhusiwe kumwona hr ukisema umeleta cv cjui ntaka nikbabidh hr walinz wanagoma wanaid hr hayupo wanakwambia acha cv itafika andika na namba zako za cm ukiacha tyu apo cv getn imekula wako
Hivi walinzi huwa ni kwanini wanatufanyia hivi? Au ni maelekezo kutoka juu?
 
Hivi walinzi huwa ni kwanini wanatufanyia hivi? Au ni maelekezo kutoka juu?

walinzi ni watu wenye roho ndogo sana hasa wakiwa kwenye mageti ya kampuni au kiwandani,unacho ambiwa ni kweli kabisa usipuuzie maana hata walinzi wata kupuuza.
 
walinzi ni watu wenye roho ndogo sana hasa wakiwa kwenye mageti ya kampuni au kiwandani,unacho ambiwa ni kweli kabisa usipuuzie maana hata walinzi wata kupuuza.
Sasa kama ni hivyo ukifanikiwa kuingia ndani si utakuwa umemharibia kibarua chake😅😅😅 mchezo wa kutafuta kazi hauhitaji hasira kwakweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom