NATAFUTA OFFICE ZA WORLD VISION DSM

NATAFUTA OFFICE ZA WORLD VISION DSM

Udart

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
453
Reaction score
685
wakuu.habari za jioni samahani Kwa wakazi wa dsm naombeni mnisaidie office za world vision nimeangakia kwenye web inaonekana Iko mikocheni karbu na makumbusho bahati mbaya nimefika juzi naambiwa wamehama na hawajui wamehamia wapi na email hawajibu simu Yao pi ni zile za mezani naomba msaada Kwa anaejua walipo Asante.
 
Zipo karibu na Kairuki Hospital Mikocheni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom