M MRAU Senior Member Joined Feb 1, 2013 Posts 156 Reaction score 235 Feb 9, 2013 #1 Habari ndugu zangu,nataka kujuzwa kuhusu wapi ntapata obd2 scanner Innova equus 3160b au Elm327 v2.1.nipo Arusha.ushauri kuhusu obd2 scanner nzuri unakaribishwa pia.
Habari ndugu zangu,nataka kujuzwa kuhusu wapi ntapata obd2 scanner Innova equus 3160b au Elm327 v2.1.nipo Arusha.ushauri kuhusu obd2 scanner nzuri unakaribishwa pia.
M Msiri Senior Member Joined Jan 10, 2010 Posts 124 Reaction score 101 Feb 9, 2013 #2 Ndugu wewe una gereji yako? Naona unaenda na wakati. Zinapatikana hapa na ukiweka shipping cost ni $465 hivi kwa Exprss Mail eg DHL. Tumia kadi yako ya Visa kuagizia.
Ndugu wewe una gereji yako? Naona unaenda na wakati. Zinapatikana hapa na ukiweka shipping cost ni $465 hivi kwa Exprss Mail eg DHL. Tumia kadi yako ya Visa kuagizia.