Natafuta nyumbani ya kupanga Iringa.

Natafuta nyumbani ya kupanga Iringa.

Tanganyika50

Member
Joined
Dec 8, 2011
Posts
97
Reaction score
19
Wakuu natafuta nyumba ya kupanga iringa mjini.Tafadhali naomba msaada wenu.Bei kati ya 150,000 na 200,000 kwa malipo ya miezi 3 au 6
Mwenye taarifa za uhakika aniPM ili tuwasiliane.
 
Soma thread za jukwaa hili utaona kuna mtu anapangisha.
---Believdat---
 
Back
Top Bottom