Natafuta nyumba ys kupanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta nyumba ys kupanga

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Nyang'omango, Mar 17, 2012.

 1. N

  Nyang'omango Senior Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 189
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Natafuta nyumba ya kupanga maeneo kigamboni vyumba 3 fens ya uhakika kuhifaz gar
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Una hela? Usiwe na tuhela twa mkopo ukaanza kutafuta nyumba ya kupanga!! Haya leta USD400 kuna nyumba ipo block 3,ghorofa moja 5km from ferry,electric fense,maji etc!!
   
 3. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Acha hizo, kopa mkopo ujenge nyuma. Unawezaje kuwa na gari wakat huna nyumba? Kwenye maisha nyumba ndo ya kwanza. Uwe na maadili uciwe bishoo sana, maisha ni magumu, utakuwa mtu wa kupanga TUU?
   
 4. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,512
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135

  usiwe muoga wa maisha
   
Loading...