Natafuta nyumba ya kupanga

Natafuta nyumba ya kupanga

Jaby'z

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
4,319
Reaction score
7,655
Habari wakuu.Natafuta gheto la kupanga liwe karibu na chuo udsm mana naskia mwaka huu wanakaza kubebana
 
Chumba au nyumba?
bajeti yako?
uko alone au una wenzio mta share?
 
Nadhani mngeweka bei wakuu, hata mie natafuta
 
Habari wakuu.Natafuta gheto la kupanga liwe karibu na chuo udsm mana naskia mwaka huu wanakaza kubebana

usiogope kijana we tafuta mtu wa kukubeba hata mwaka jana walikataza kwa sababu hiyo ni sheria ya chuo na pia kupunguza tatizo. la wizi ila watu wali bebana kama kawa wenyewe wanaelewa ubungo msewe vyumba ni vichache afu wengi hawana mkopo hawa wezi ku afford kupanga...
 
Majengo ya udsm especially Hall 2 na 5 ni mabovu...serikali iache ubahili yavunjwe yajengwe mapya,kwanini kule uwanjani wasijenge majengo mapya? Hizo halls ni hatari kwa matumizi ya binadamu.
 
Ni gheto mkuu
niko na wenzangu
bei ya chumba tunaelewana mkuu
 
Ni gheto mkuu
niko na wenzangu
bei ya chumba tunaelewana mkuu

apartment ya self contained...chumba na sebule na jiko na choo
laki nne...iko fenced mnaweza kukaa hata watu 6
 
Changanyikeni kuna hostel za wanafunzi unapanga bei rahisi kama 50,000-60.
 
mkuu wanasema mwaka huu ile hospitali ya chuo ndo inaongoza kwa maambukizi ya T.B dsm nzima....na sababu kubwa wanasema ni kubebana kwahio mwaka huu wanaweza kukaza tofauti na miaka iliyopita
 
mkuu wanasema mwaka huu ile hospitali ya chuo ndo inaongoza kwa maambukizi ya T.B dsm nzima....na sababu kubwa wanasema ni kubebana kwahio mwaka huu wanaweza kukaza tofauti na miaka iliyopita

tb c ina ambukizwa kutokana na maji machafu?? sasa kuna uhisiano gan na kubebana
 
Back
Top Bottom