Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Ngoja nkutaftie hapa Changanykeni...
habari zenu
natafuta nyumba ya kupanga bei iwe kati ya 250,000 hadi 300,000 TZS
ikiwa chini ya hapo pia itakuwa vizuri zaidi. maeneo ya Makumbusho, Victoria
K,nyama au changanyikeni na maeneo mengine karibu na hayo.
mwenye kujua anaweza kuniambia ASANTE
Inategemea na nyumba unayoishiChanganyikeni shida ya maji.........ndio niko huku kwa sasa
Ila ukipata nishtue ASANTE
habari zenu
natafuta nyumba ya kupanga bei iwe kati ya 250,000 hadi 300,000 TZS
ikiwa chini ya hapo pia itakuwa vizuri zaidi. maeneo ya Makumbusho, Victoria
K,nyama au changanyikeni na maeneo mengine karibu na hayo.
mwenye kujua anaweza kuniambia ASANTE
Inategemea na nyumba unayoishi
Nimeishi Kijitonyama,Sinza,Mwenge now Changanyikeni kwangu ndio best place kuliko huko nilipoishi mwanzo
Vp ndugu madalali wamezingua au huwataki??
Ok mimi nilidhani hujawatumia bado coz nyumba za dar bila dalali ni isse kupatanikipata dalali poa wa mwanzo kama wawili wamenizingua
nikipata dalali poa wa mwanzo kama wawili wamenizingua
Dada unataka maeneo gani
Mi nataka,
Bei gani?
ntakucheki chemba mkuu, nipo busy job kidogo
poa........
poa........
Nimekutumia msg chemba umeiona?
Mkuu meseji umei-divert kwa Heaven on Earth,
Na mimi pia nitumie basi