Natafuta nyumba ya kupanga

Natafuta nyumba ya kupanga

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,713
Naomba nisadie kwa yoyote anaye jua nyumba nzuri ya kupangisha.. Kwa mwezi iwe walau laki 3..
 
Ndugu Tabutupu "NYUMBA NZURI" kwa laki 3 unahitaji maeneo ganI? ipo moja maeneo ya kipawa karibu na kituo cha polisi. Piga 0787142343 uliza benja
 
Ndugu Tabutupu "NYUMBA NZURI" kwa laki 3 unahitaji maeneo ganI? ipo moja maeneo ya kipawa karibu na kituo cha polisi. Piga 0787142343 uliza benja

asante mkuu, nitakucheck... ila ningependa zaidi maeneo ya kuanzia tabata hadi kimara...
 
Naomba nisadie kwa yoyote anaye jua nyumba nzuri ya kupangisha.. Kwa mwezi iwe walau laki 3..

Tabata utapata..nyumba nyingi ni kuanzia tatu mpaka nne..ukienda tu kwa madalali utapata..tena nzuri na mpya
 
Kama unataka Tabata utapata alafu pako shwaari hamna tabia za kiuswahili ila huko Kimara vibaka wengi sn.
 
Back
Top Bottom