Natafuta nyumba ya kupanga

Natafuta nyumba ya kupanga

Rauya

New Member
Joined
Jun 25, 2009
Posts
2
Reaction score
0
Nyumba hiyo iwe ya kisasa yenye uzio, maji na umeme. Iwe na vyumba visivyopunguwa vitatu vya kulala na angalau kimoja wapo kiwe ni "Self contained"
Iwe na kiwanja kikubwa na sehemu ya kuweza kuegesha gari mbili. Nyumba hiyo iwe maeneo ya Jet Rumo kwenye viwanja vilivyopimwa. Tafadhali kama una nyumba maeneo hayo wasiliana na mimi kupitia simu namba 0715-266451
 
Back
Top Bottom