Natafuta nyumba ya kupanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta nyumba ya kupanga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rauya, Jun 25, 2009.

 1. R

  Rauya New Member

  #1
  Jun 25, 2009
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyumba hiyo iwe ya kisasa yenye uzio, maji na umeme. Iwe na vyumba visivyopunguwa vitatu vya kulala na angalau kimoja wapo kiwe ni "Self contained"
  Iwe na kiwanja kikubwa na sehemu ya kuweza kuegesha gari mbili. Nyumba hiyo iwe maeneo ya Jet Rumo kwenye viwanja vilivyopimwa. Tafadhali kama una nyumba maeneo hayo wasiliana na mimi kupitia simu namba 0715-266451
   
 2. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Jaribu kuclick HAPA, huenda mkaelewana na ukapata nyumba safi.
   
Loading...