Natafuta nyumba ya kupanga

Natafuta nyumba ya kupanga

Tanganyika50

Member
Joined
Dec 8, 2011
Posts
97
Reaction score
19
Heshima kwenu wakuu,
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kimara,sinza,tabata au magomeni.Nyumba iwe na bedroom 1 preferably self contained,sebule na kajiko.Privacy ni muhimu.budget yangu ni 200,000/= pm miezi sita.
Mwenye nayo naomba ani PM tafadhali.
 
Kimara Suca pande za golan. Ipo ndani ya fence, niPM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom