natafuta nyumba ya kupanga ubungo,tabata

concordile 101

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
3,058
5,963
wakuuu rejeen kwenye kichwa cha habari. nyumba ya vyumba viwili,jiko na sebule. iwe na fence na maji yawepo.itapendeza ikiwa na tiles na sliding windows. budget yangu ni 200000 mpaka 250000. mawasiliano watsap +258869371227. kwa sasa nipo nje ya dar ila kuna mtu anaweza icheck na kulipia. pia kama kuna sehemu nyingine ambapo inaweka patikana kwa bei hizo nichekin ila isiwe ni magar ma mawili kwenda city center
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom