Natafuta Nyumba ya Kupanga Njia ya Bagamoyo Kabla ya Kufika Makonde

MashaJF

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
246
119
Natafuta nyumba ya vyumba vitatu kwa bei isiyozidi laki 3 kwa mwezi kuanzia mwezi wa kumi na moja mwaka huu. Naahidi kuitunza kama yangu.

Naomba ujibu kama una msaada katika hili sio kujifurahisha!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom