Vipi Upanga hutaki na kuna NHC
Du hizi nyumba ni za wazeee tena uende taratibu utapigwa kipapai.Yaani kuna watu walipanga nyumba hizi tokea enzi za mwalimu sasa wanazifanya kama za kwao na ukitaka kupanga lazima wao ndo wakupangishe tena kwa bei wanaoitaka wao
Wakuu natafuta nyumba ya kupangwa hizi za National housing c.nifanyaje ili niweze kuzipata? Naona zipo Ubungo Shekilango, urafiki, llala pale hata Temeke naombeni mawazo yenu mbinu ya kutumia ili nipate kupanga nyumba za Taifa letu