natafuta nyumba ya kupanga musoma mjini

Polisi

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,082
639
naomba msaada kwa walio musoma mjini kwa ajili ya kijana wangu ambaye amepata kazi huko. anahitaji chumba kimoja au viwili tu na ikiwa self ni vizuri zaidi au nyumba ambayo inawapangaji wasiozidi 3. apartment kama zipo more preffered. hata kama kuna jamaa ambaye unamfahamu anaweza kutusaidia au hata kama ni dalali tupatie contact zake. Budget tsh. 50,000 - 80,000.
 
jamani hakuna watu wa musoma humu? msaada tafadhali, ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo
 
Watu wa musoma hawana ushirikiano. Kama unavyoona walivyo kimya humu mwambie nduguyo ajiandae kuishi kivyake. Ila nijuavyo musoma maisha ni very expensive na asitegemee kupata kwa kiasi hicho. Awe angalau na laki 200,000. Aende tu madalali watamsaidia
 
Back
Top Bottom