natafuta nyumba ya kubanga maeneo ya Ilala

mrlonely98

Member
Nov 6, 2009
95
19
asalaam wana Jamii

natafuta nyumba maeneo ya Ilala kodi iwe kati ya 150,000 na 200,000
Nina kodi ya miezi 8
iwe na viumba viwili na jiko
umeme wa kujitegemea
na maji

yoyote aliyekua anayo nijulishe hela ya dalali atapewa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom