Natafuta Nyumba ya Kisasa ya Kupanga Morogoro

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
Bandugu wanaJF:

Heshima kwenu nyote:

Naombeni msaada wenu wa kupata pa kuishi.

Natafuta nyumba ya kupanga huko Morogoro. Nyumba iwe katika maeneo Salama na mazuri ya kuishi Kama vile Kola, Forest Hill N.K. Nyumba iwe na vyumba kati ya vitatu na vinne. Iwe ya kisasa na yenye fence. Maji na umeme ni vitu vya msingi na lazima. Ikiwa na samani ndani yake basi itakuwa ni vema na haki. Madalali wa huko wamenizingua na kunipotezea muda wangu. Ni PM kama unayo nyumba nzuri na yenye kukidhi viwango hivyo hapo juu.
 
bujeti ya mpangaji ni dola 650
 
Mkuu binafsi cna nyimba isipokua yamkini ukawa jirani yangu,kuna nyumba nzuri sana maeneo ya magorofani eneo la barabara mpya ngoja niku PM then ntakuelekeza na utaenda mwenyewe bila dalali,ni vigezo hvyo hopefull ina deserve
 
Asante Mwanajf Laurence...nasubiria PM yako, mzee
 
Thx Laurence nimepata PM yako ..ngoja nimsake huyo landlord.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom